1. Confidence - She's not a braggart, she's someone who knows her real value
2. The Femininity should be there - She should be fragility and show strength when the situation calls for it
3. She should be trustworthy - Hii haina haja ya kuipa maelezo inajieleza yenyewe
4. She knows how to nourish
5. She should not be obsessive and having a compulsive behavior
6. She knows how to have fun
7. She knows how to dress, clean and smells nice
8. She is wild in bed (She knows how to get it on)
9. Intelligent and well breed
10. Good sense of humor
Duh, Ben hizi sifa zote awenazo mtu mmoja tu?lol...
mi ninazo zoooteeee...nyuki anakumbatiwa babu kunguni anakung"utwa!!
kasoro moja tu................................
Mi nakwambia kila mtu atatoa sifa zake lakini linapokuja suala la sasa naoa. Hivyo vitu ataanza kuvitafuta kwa clearing
kasoro moja tu................................
Sasa Ben naelewa umesema unataniaDuh MJ1,hiyo ni Incredible come back...long time!
Napenda mtundu, mcheshi ambaye yupo Tayari kujifunza,Mbishi kwa logic,mwenye kujali Utu na anayejipenda,awe na mvuto naturally ambao sio wa kuchakachua. Ofcourse she must be upright,sociable and above all,she must not be mushy! Zaidi kabisa awe Mfanyabiashara(Natania),lol
Ngoja nimwambie AD akutafsirie kwa KiswahiliDogo tutafsirie kwa kiswahili basi? Khaa!
Sasa wewe bacha unakaa uswahilini utawapata wapi wa namna hiyo nimeishakwambia uhame huko lakini hautaki. Utaishia ku-date na mama muuza kachaso.Kwa hapo Finest utakuwa Unaomba pumzi maiti......
Labda wapo lakini kumbuka1. Confidence - She's not a braggart, she's someone who knows her real value
2. The Femininity should be there - She should be fragility and show strength when the situation calls for it
3. She should be trustworthy - Hii haina haja ya kuipa maelezo inajieleza yenyewe
4. She knows how to nourish
5. She should not be obsessive and having a compulsive behavior
6. She knows how to have fun
7. She knows how to dress, clean and smells nice
8. She is wild in bed (She knows how to get it on)
9. Intelligent and well breed
10. Good sense of humor
me kama me napenda mwanamke awe na vifuatavyo; 1. Awe na heshima, 2.Awe muwazi na mkweli,
3.Awe muelewa (understanding)'
4.Awe anajua kucare,
5.Awe msafi wa ndani na nje,
6.Awe mbunifu na asiyekuwa mvivu kitandani,
7.Awe na muonekano wa kiafrika na si kujibadilisha rangi yake halisi,
8.mwenye kupenda maendeleo,
9. Awe muongeaji wa kawaida na si kama kasuku,
hizi ndizo sifa ninazopenda mwanammke awenazo, ila kibinadamu kunawezekano wa mwanamke kukosa baadhi ya sifa zangu ilo si tatizo kwangu huwa naangalia kakosa sifa gani kati ya hizi na je hiyo alieyekosa inawezekana kumfundisha na kumzoesha akawa nayo? kama jibu langu ndio basi pia huyo mwanamke ananifaa.
Sasa wewe bacha unakaa uswahilini utawapata wapi wa namna hiyo nimeishakwambia uhame huko lakini hautaki. Utaishia ku-date na mama muuza kachaso.
Nipigie simu nikiwa baa nakunywa uniambie chakula tayari: Sawa kabisa
Nipigie kama nimechelewa kurudi toka kazini: Safi sana
Nipigie kunijulia hali kama nilikuwa na afya mgogoro: Maridadi kabisa
Umenipigia nikakuambia mamito nsharudi niko hapa KingStaa na Teamo Ti tunapata bia
Dakika tano unapiga tena......uko na Teamo kweli? Dakika tano tena......utarudi saa ngapi......dakika tano tena....mbona huji.......dakika tano tena...njoo ule......dakika tano tena........uko na malaya zako........dakika tano tena...mi nalala.......dakika tano tena.....jamani nakusubiri tule....dakika tano tena....siku hizi hunipendi....dakika tano tena.......khaaaaa!
Hata kama ni kupenda sasa hii ni kero:
SIPENDI MWANAMKE MSUMBUFU ASIYENIAMINI
Afu we mjukuu mtiifu, we umetuuliza tukuambie tunachokihitaji toka kwa mwanamke, ili mtufanyie.... Tunakuambia halafu unatuchalenji. Kwahiyo unataka tufuate unachokitaka wewe? Kwanini umetuuliza sasa, si ungetushauri unachotaka tuwafanyie?...... Mwone kwanza
Labda wapo lakini kumbuka
wengi tumesoma shule za nyumba
kumi kumi.. hii lugha hapo juu ndo kwanza tinaona kwenye matangazo ya sigara..
Mmhhh ngoja mjomba arudi kutoka ulaya ya Dar Es Salaam atanosomea..
Unataka Kungu Fu Panda eheeee:biggrin1::biggrin1::biggrin1:Labda wapo lakini kumbuka
wengi tumesoma shule za nyumba
kumi kumi.. hii lugha hapo juu ndo kwanza tinaona kwenye matangazo ya sigara..
Mmhhh ngoja mjomba arudi kutoka ulaya ya Dar Es Salaam atanosomea..
Binafsi, mimi kama bacha,
sipendi mwanamke wa visasi,
eti umemwaga ugali, yeye atamwaga mboga lol...inahu............
KWA UJUMLA VISASI SIVIPENDI ASILANI!!!!!!!!!!!!!
Ulipokuwa unapewa ada ukalipe shule ulikuwa unaenda kula mishikaki ya kwenye cheleo pale Mwenge stendi matokeo yake unayaona sasa. Huko mbona kwa wachovu huko wanakaa akina Klorokwin na UporotoHuyu dogo siku hizi naona kahamia Birmingham....
Kama sivyo basi atakuwa mtaalamu wa kugoogle....
Aisee!!! Kitu huwa naisikia chupa tatu kama vile umekunywa kreti tatu za Safari Lagerdah, umenikumbusha long time...................
Hivi kachaso ndo konyagi pori eeeeeeeeeeh?
hahahah hapana Babu ukisoma vizuri thread nimesema tunawauliza wanaume mseme ili kama kuna pa kujitetea as to why wanawake tunafanya hivyo tujitetee au kama kuna pa kukiri tukiri. Sichallenge bali ninajaribu kujitetea na kukiri.
Kwa scenerio uliyoianisha hapo juu ninaomba NIKIRI. huwa tunakosea loh...ila nadhani ni makosa ya kibinaadamu kama mnavyokoseaga nyie mnaporespond to human nature yenu!!
Sasa Babu na ile ya kuikagua simu kila ukiingia home.kuanzia sms, deleted calls e.t.c je ?
MJ1..nimerudi,oops,mada zako zinakuwa na kurasa nyingi mno...big-up!!
Mi sijaoa bado...lakini vigezo vyangu ni kama ifuatavyo:
-Kwanza asiwe mvivu kwenye game-hapa ni kufundishana ikibidi.
-Jikoni ndio hasa, ajue mapishi ya ukweli coz nimetaabika sana na masomo,mwili wangu kwa sasa unahitaji mapumziko mazuri yasiyo na stress,na nahitaji kuujenga mwili kwa chakula kitamu. Asipojua kupika hana nasfasi.
-Asiwe mpayukaji, yaani kidomodomo, awe mstaarabu na mwenye upeo flani wa mawazo.
-Labda nipo nje ya mada lakini napenda sana..'buff the body'' aka mshepu,sura ya kawaida, awe natural.
-akipenda siasa ni additional adv. coz naogopa asije nipa kibano nisiingie JF.
Haa sijui nitafanikiwa, manake hawa .com siku hivi...mmh!!