Owky Da Womanizer nina imani ujumbe huu tumeupata na tutaufanyia kazi. Hii ninaihesabu kama moja ya vitu ambavyo pengine wanawake wengi tumekuwa na mtizamo tofauti na wanaume. Na bahati mbaya sana (kwa wale tulioko ndani ya ndoa) mume anapoanza kukusema kwa ajili ya kumsumbua na simu zako huwa tunakimbilia kuquestion why ananizuia, kuna mabaya gani anafanya, mbona anajihami au kwani mi si ni mkewe nina haki ya kumpigia na kumwulize yuko wapi so asinipangie............na hapo ndipo ushindani unapoanza na kusababisha mengine.
Hahahaha...welokamu baki Rosie...
Ulikuwa umefungiwa gesti gani?
Babu nimeguna sababu
waweza mpata mtu mwenye hizo namba za chini na ni vitu ambavyo tunaweza kujifunza na kuvibadilisha.. lAkini hiyo number mmoja mmhhh.. vipi kAma number moja haijakamilika???
Kusema ukweli nilikumiss sana Rose...........hii lugha bado kidogo niisahau karibu tena na aksante kwa kunisaidia kunyoosha swali si unajua tena.uzee mpaka kwenye ubongo
Ni kweli ngoja nirudi kwakuwa:thanx babu...jina la gest nimelisahau...bt RR analiju ngoja nimchek anikumbushe
ni uyu rr bwana ananibana km nin...tulikuwa roma kidogo tulienda kula sakrament kdg n nw we r bak 4gud...
naomba urud kitandani babu kabla sjakudanganya:dance:
Nipigie simu nikiwa baa nakunywa uniambie chakula tayari: Sawa kabisa
Nipigie kama nimechelewa kurudi toka kazini: Safi sana
Nipigie kunijulia hali kama nilikuwa na afya mgogoro: Maridadi kabisa
Umenipigia nikakuambia mamito nsharudi niko hapa KingStaa na Teamo Ti tunapata bia
Dakika tano unapiga tena......uko na Teamo kweli? Dakika tano tena......utarudi saa ngapi......dakika tano tena....mbona huji.......dakika tano tena...njoo ule......dakika tano tena........uko na malaya zako........dakika tano tena...mi nalala.......dakika tano tena.....jamani nakusubiri tule....dakika tano tena....siku hizi hunipendi....dakika tano tena.......khaaaaa!
Hata kama ni kupenda sasa hii ni kero:
SIPENDI MWANAMKE MSUMBUFU ASIYENIAMINI
Nimeipenda hii ngoja niihifadhi for future use lol!
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:
siku ipite hivi hivi bila kunichokoza wala husikii raha,lol....
haya bana, umeshakula kiporo chako?
imekuwaje tena asenga kasepa?Hehehehehe.... Aisee Asenga kaingia mitini bana....
Anatafutwa kama parachichi kwenye mti wa mchungwa!
Duh MJ1,hiyo ni Incredible come back...long time!
Napenda mtundu, mcheshi ambaye yupo Tayari kujifunza,Mbishi kwa logic,mwenye kujali Utu na anayejipenda,awe na mvuto naturally ambao sio wa kuchakachua. Ofcourse she must be upright,sociable and above all,she must not be mushy! Zaidi kabisa awe Mfanyabiashara(Natania),lol
Ni kweli ngoja nirudi kwakuwa:
NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU"
Duh, Ben hizi sifa zote awenazo mtu mmoja tu?lol...
imekuwaje tena asenga kasepa?
hebu njoo fb tuongee kidogo (huyu max huyu...hivi kwaq nini aliitoa chatroom?)
imekuwaje tena asenga kasepa?
hebu njoo fb tuongee kidogo (huyu max huyu...hivi kwaq nini aliitoa chatroom?)
mi ninazo zoooteeee...nyuki anakumbatiwa babu kunguni anakung"utwa!!
Duh, Ben hizi sifa zote awenazo mtu mmoja tu?lol...
1. Confidence - She's not a braggart, she's someone who knows her real value
2. The Femininity should be there - She should be fragility and show strength when the situation calls for it
3. She should be trustworthy - Hii haina haja ya kuipa maelezo inajieleza yenyewe
4. She knows how to nourish
5. She should not be obsessive and having a compulsive behavior
6. She knows how to have fun
7. She knows how to dress, clean and smells nice
8. She is wild in bed (She knows how to get it on)
9. Intelligent and well breed
10. Good sense of humor
Wanajamvi salamu!
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara, je inawezekana kina kaka, shemeji na kina baba mkawa wawazi kwa kueleza ni vitu gani huwa mnavitamani kwa magalfried/wachumba au wake zenu? Yaani design ya sipendi/napenda
Haya babuNamba moja lazima i-apply bana....Sura nzuri bana ni kigezo kikuu cha babu..... na uzuri simaanishi urembo, tofautisha hapo. Yaani yenye mvuto...bahati nzuri ailimia kubwa ya wanawake wana sura kama hizo.
Sasa kama una sura kama ngumi ya mwizi, utamsamehe babu bana. Kuna wanaozipenda bana, usijali..LOL