IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 441
- 117
Kwa wale ambao watumia na wataalamu wa kucopy gamez za PS2 naombeni msaada program ipi naweza kuitumia kucopy games yeyote kwenda kwenye cd na dvd empty.... na pia web gani naweza kupata gamez nzuri za kuchezea kwny game ya PS2?.. tupeni maujanja wakuu... shukrani