Mkuu! Unatumia smu gan? Na ulii uniinstal vp maana kwenye smu nyng haina option hyo ile n app inaokuja na simu...
Unless unatumia smu ambayo ni special kutumika china tuu..
Maana serikali ya china inazuia some google service kutokana na sababu za kisiasa na za ki usalama zaiid (privacy)
Na sizan kama mobogene wanayo setup ya playstore... Cha muhmu ww tumia mobogenie maana ina allmost app zote za playstore...
Kama una google store ni bora uendelee kuitumia, pamoja na hiyo moboginie, play store huwa haifutiki kwa simu og za android, labda kama ulitumia njia mbadala, wasiliana na C6 au njunwa wa mavoko kwa msaada zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.