Play Store does not respond!

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,177
1,500
Wakuu habari ya kwenu!

nina sim ya huawei Y300 0151, majuzi tuu ilikuwa inafunction vizuri tu gafla Watsup ikawa hairespond, nikauliza wataalam wakanishauri kufanya yafuatayo!
Unaweza kutatua tatizo hilo kwa kufuata njia hizi: "Go to settings>>”All”>>Select “Google Play Store”
Now Force Stop>>Clear Data>>Clear Cache
Now again try downloadi
ng or updating the app
If the above didn’t work, go to settings>>”All”>>Select “Google Play Store”>>Uninstall Updates
Again, from “All”>> Select “Download Manager”>>Clear Data and Cache
Rerun Google Play Store and install/update your app or game. Karibu

Nimefuata hatua zote nilizoshauriwa ila nikijaribu kupdate au kudowmeload chochote kupitia PLAY STORE naambiwa "error 403"

kuna yeyote anayeweza kunisaidiaa

cc: Chief Mkwawa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom