PLATNUM CREDIT.

PLATNUM CREDIT.

Jfrank

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
22
Reaction score
9
Hello friends,, samahan mwenye kujua mahali ofisi za PLATNUM CREDIT zipo kwa Tanga mjini naomba aniambie,,, wametangaza nafasi ya KAZI nami Niko hapahapa Tanga so naona Bora nikawaone face to face.

Asanteni.
 
pl

plat num wapo Tanesco pale
 
Hello friends,, samahan mwenye kujua mahali ofisi za PLATNUM CREDIT zipo kwa Tanga mjini naomba aniambie,,, wametangaza nafasi ya KAZI nami Niko hapahapa Tanga so naona Bora nikawaone face to face.

Asanteni.
Wametoa tangazo tuma kwa email wewe unaenda face to face ukikosa Ajira Utasema nimelogwa!Ile ni Email ya makao makuu ukituma maombi yanaenda makao makuu then wanapitia kisha wanatoa maamuzi sasa ukienda face to face watakusaidia kweli?By the way nimeomba hiyo kwa email
 
Nafasi gani ya kazi mkuu ama ndio hizo sales executive.... Za kulipwa kwa commission.. Nakushauri tuu ni bora ukalime mkuu kuliko kufanya kazi za kijinga kama hizo... Nina experience ya miezi sita na hiyo kampuni... Labda kama sikuhizi wanatoa mishahara na si commission ni unyonyaji wa kutupwa
 
Acha Tu!week Kama Mbili ivi Niliomba Nafasi Kwao Boss Kanambia Kulipwa Kwa Kamisheni Nikamwambia Jtatu Naanza Mpaka Leo Sijaenda!Hii Kulipwa Kwa Commission Means Mshahara Ni Jasho Lako!Ukikosa Mteja Huna Mshahara!Kweli Ni Unyonyaji Kabisa
 
usipoteze muda na nguvu zako kuomba kazi katika kampuni hii, hakuna mshahara platinumz, utalipwa kwa kamishen huku tatizo likiwa ni kukosekana kwa wakopaji

watumishi hawakopi platnum, kampuni inariba kubwa na janja janja nyingi
Hello friends,, samahan mwenye kujua mahali ofisi za PLATNUM CREDIT zipo kwa Tanga mjini naomba aniambie,,, wametangaza nafasi ya KAZI nami Niko hapahapa Tanga so naona Bora nikawaone face to face.

Asanteni.
 
usipoteze muda na nguvu zako kuomba kazi katika kampuni hii, hakuna mshahara platinumz, utalipwa kwa kamishen huku tatizo likiwa ni kukosekana kwa wakopaji

watumishi hawakopi platnum, kampuni inariba kubwa na janja janja nyingi
Asanteni sana kwa ushauri wadau kwani jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,, nilikuwa gizani
 
Back
Top Bottom