Platinum credit mikopo nafuu kwa riba ndogo kabisa

CMT

Senior Member
Apr 29, 2016
167
81
Kwa mawasiliano piga 0738 441351 tukuhudumie. Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na waajiriwa serikalini na sekta binafsi.
Kuanzia 1 milioni nakuendelea dhamana ni gari yako tuu
 
Fafanua mkuu.. Ni mikopo ya kiwango gani, kwa muda gani na riba ni ngapi??
Miezi mitatu, sita, tisa, miezi 12 kwa mikopo ya biashara na unapata ndani ya masaa 24 hrs. Riba ni 7.5% mpaka 7% kulingana na muda wa marejesho mkuu. Karibu sana
 
7% - 7.5 % ni riba kwa mwaka au kwa mwezi !!!!???
 
Coverage yenu iko hadi mikoani je walengwa ni MTU binafisi au hata vikundi vinavyoweza kudhaminiwa na taasisi furani?
 
Kwa mawasiliano piga 0738 441351 tukuhudumie. Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na waajiriwa serikalini na sekta binafsi.
Kuanzia 1 milioni nakuendelea dhamana ni gari yako tuu
Sina gari, kwa hiyo sipati mkopo?
 
Kwa mawasiliano piga 0738 441351 tukuhudumie. Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na waajiriwa serikalini na sekta binafsi.
Kuanzia 1 milioni nakuendelea dhamana ni gari yako tuu
Trap ya kujua id za watu! Kama kweli nyie mna nia njema weka jina lako halisi
 
Back
Top Bottom