Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Wewe JK kumbe unamanisha ile historia ya kwenye Bible...lakin ile ilikua miaka ming sana hadi huyu wa kwenye picha aishi
Nahisi may be Wana wa Mungu wamejirudia tena mana ROHO YA NDANI NDO HUWA INAAMUA KULIKO MWILI WA NJE NDO MANA KUNA MAJINIWATU...YAPO TAYARI KULALA/KUPASHANA WATOTO ZAO ILI YAPATE UTAJIRI
 
Nahisi may be Wana wa Mungu wamejirudia tena mana ROHO YA NDANI NDO HUWA INAAMUA KULIKO MWILI WA NJE NDO MANA KUNA MAJINIWATU...YAPO TAYARI KULALA/KUPASHANA WATOTO ZAO ILI YAPATE UTAJIRI
Aina hiyo ya kizazi haitakaaa itokeee tena duniani..tutaendelea na kina Trumph na Majaliwa
 
Wana wa Mungu (malaika)
Wana binti wa wanadamu yaan wasichana
Sio wote watu mkuu hapo kuna malaika na binadamu The Humble Dreamer
MWANZO 6:1-8,"Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri,wakajitwalia wake wowote waliowachagua.BWANA akasema,Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele,kwa kuwa yeye naye ni nyama,basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.Nao Wanefili(nephilims)walikuwako duniani siku zile,tena,baada ya hayo,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu,wakazaa nao wana,hao ndio waliokuwa watu hodari zamani,watu wenye sifa.BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani,akahuzunika moyo.BWANA akasema,nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi,mwanadamu na mnyama,na kitambaacho na ndege wa angani,kwa maana naghairi kwamba nimewafanya....
Kaaa humo The Humble Dreamer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom