Plastic shredding machines...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Anaejua wapi zinapatikana aina zozote za machines za kusaga plastics..hapa nchini naomba anipe info. Hata locally made.

Plastics nazomaanisha ni hizi kama chupa za maji na mifuniko yake.. wengine wanaita hdep I think.
 
Back
Top Bottom