NestoryJ
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 117
- 132
Habari zenu wana jamii f.?
Natumaini mu wazima wa afya njema wote, shida yangu mmi ni Kwa yeyote anaefahamu sehem wanapotengeza mifuko ya plastic au wanakouza naomba anifahamishe, ninashida nazo nipo mbeya
Design kama hizo tafadhali au hata plastic za kawaida mradi zisiwe na label yeyote na iwe ya nylon size 1g - 3kg msaada wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app