Jamaa anaenda kuzitumbua vizuri uraiani .............:confused2:
Usiwe punguani wewe hapa utaifa kwanza umemsikia Mwigulu wewe.
Wanaukumbi.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.
Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.
Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Amefukuzwa vuipi nkazi wakati alishastaafu miaka kadhaa iliyopita? Au alirejeshwa kwa mkataba?Wanaukumbi.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.
Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.
Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Amefukuzwa vuipi nkazi wakati alishastaafu miaka kadhaa iliyopita? Au alirejeshwa kwa mkataba?
Acha uongo Luoga alishaondoka TRA Kwa kustaafu kabla ya Hii escrow acha uzushi
Mbona huyu jamaa alishastaafu mbona.
Wanaukumbi.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.
Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.
Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Mkuu nafikiri, pamoja na malumbano bungeni, somo limeeleweka serikalini.Wanaukumbi.