Eti mke wa zamani wa Dr. Slaa ambae ni adui mkubwa wa katibu mkuu huyo wa CHADEMA kakamatwa akigawa hela kwa wapiga kura,tena eti polisi wamekwenda kumkamata mtuhumiwa wao kwenye ofisi za CCM. Sasa kwa wenye akili tu.
1.Rose Kamili agawe hela kwa wapiga kura kwa wema gani alionao kwa chama?
2.Rose Kamili Mbunge wa viti maalumu CHADEMA hela za kugawa kwa wapiga kura atazipata wapi?
3. Kwa nini akamatwe na CCM na wala siyo TAKUKURU au Polisi
4. Kwenye team ya kampeni ya CHADEMA aliitwa na nani kwa sababu team yote ilikuwa inajulikana tangi
mwanzo Rose kamili hakuwemo
5. Nani mjinga amweke Rose kamili kwenye kampeni wakati anajulikana toka zamani ni msaliti, mbona wenyewe CCM walimfukuza NAPE kwenye kampeni hizo?
6. Halafu Polisi nao watakubalije kutukiwa namna hii, au RPC kaahidiwa cheo kikubwa atakuwa chini ya IGP?
Akina Mwigulu Mchemba mkajipange upya hii plani yenu imebackfire.