Zitto kichwa kitakuwa kinauma:doh::doh: ndo tatizo la kukurupukia hoja ambazo hatoweza
Zitto kichwa kitakuwa kinauma:doh::doh: ndo tatizo la kukurupukia hoja ambazo hatoweza
Zitto kichwa kitakuwa kinauma:doh::doh: ndo tatizo la kukurupukia hoja ambazo hatoweza
Dada unafaidika na nini kusimama upande wa wezi wa mali za umma zinazosababisha nchi isiendelee huku Watanzania wenzako wakitaabika kwa maisha magumu?
Anaye umwa kichwa ni wewe unayejitahidi kuzima hoja ya kutokuwa na imani ana waziri Mkuu!!!! Inaonekama uko upande wa maghambas, mtajificha wapi mapambano ndio yamaeanza sasa kila kona hakuna kulala!!!!!Zitto kichwa kitakuwa kinauma:doh::doh: ndo tatizo la kukurupukia hoja ambazo hatoweza
Kuna njama za makusudi zinapangwa kuwanyima akina Zitto fursa ya kupeleka vote of no confidence hata kama sahihi 70 zitapatikana, na mdada wa mjengoni ameapa kusimama kinyume na hili na serikali inamsaidia kuepuka aibu hii ambayo Mkulu hataki sikia, anasema...'siwezi kushinikizwa mimi ndiye kiongozi'. Upande wa pili umeapa kuomba sahihi za wananchi nje ya mjengo kushinikiza kuondolewa kwa mawaziri vinara wa ufisadi waliotajwa kukwamisha jitihada za kuendeleza nchi hii. Wanasema 'rais hatuwezi kumuondoa atamaliza kipindi chake 2015 lakini akubali kubadili team yake ya viongozi kwa kuondoa wanaolalamikiwa' My take: Kushindwa kwa wabunge kutapelekea wananchi kukata tamaa na kukubali mambo yaende yalivyo. 'TANZANIA KWANZA'
Leta ushahidi wa wizi
Hizi zote ni propaganda za magwanda lakini hazitafika kokote zitagonga na kurudi πlayball:πlayball:πlayball:πlayball:
Kuna njama za makusudi zinapangwa kuwanyima akina Zitto fursa ya kupeleka vote of no confidence hata kama sahihi 70 zitapatikana, na mdada wa mjengoni ameapa kusimama kinyume na hili na serikali inamsaidia kuepuka aibu hii ambayo Mkulu hataki sikia, anasema...'siwezi kushinikizwa mimi ndiye kiongozi'.
Upande wa pili umeapa kuomba sahihi za wananchi nje ya mjengo kushinikiza kuondolewa kwa mawaziri vinara wa ufisadi waliotajwa kukwamisha jitihada za kuendeleza nchi hii.
Wanasema 'rais hatuwezi kumuondoa atamaliza kipindi chake 2015 lakini akubali kubadili team yake ya viongozi kwa kuondoa wanaolalamikiwa' My take: Kushindwa kwa wabunge kutapelekea wananchi kukata tamaa na kukubali mambo yaende yalivyo. 'TANZANIA KWANZA'