Places Dubai will never allow Tourists

Yes Kiswahili kina ustaarab mkubwa sana na ndiyo maana hatuchomani masime na kuuana hovyo kulazimisha watu kuwa waislam na kujipachika unabii wa uwongo.
Very good. Elewa maana ya ustaarabu...

Usta (wasta) = influence.
Arabu = Arabs.

Ukipebda usipende ulichosema ni sahihi kabisa.
 
Uongo wa kitoto sana, hakuna maeneo kama hayo Dubai, umeokoteza vipicha tu mtandaoni.
Inawezekana huko Dubai kuna dhulma kwa baadhi ya makundi ya watu lakini hakuna mtu anayeishi maeneo kama hayo kwa sababu hayapo.
 
Back
Top Bottom