Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Sijawahi kuwa na uhakika, kiongozi wa United Arab Emirates Ni Mohamed bin Zayed (MBZ), Sina uhakika ndio boss wa wenzake, maana yeye kabase Abu Dhabi ambako ndo makao makuu ya UAE
Sijawahi kuwa na uhakika, kiongozi wa United Arab Emirates Ni Mohamed bin Zayed (MBZ), Sina uhakika ndio boss wa wenzake, maana yeye kabase Abu Dhabi ambako ndo makao makuu ya UAE
Neither!
Dubai ni neither country and city!Kivipi mkuu? Ninavyojua ni mmji mmojawapo kwenye Umoja wa falme za kiarabu (UAE) pamoja na miji kama Sharjah na mingine ambayo makao yake makuu ni Abu Dhabi.
Sasa sijajua wanatumia mfumo gani wa utawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya yote picha nyingi alizoweka mleta mada ni photoshopNchi zote tajiri duniani hazikosi maskini ispokua Brunei na kidogo Singapore , hao unaowaona hivyo wengi wao ni wageni wanapiga kazi mchana usiku hayo ndio makaazi yao, wengi wao wanakimbia makodi ya vyumba coz huo mji kodi ya chumba ni balaa jengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote tajiri duniani hazikosi maskini ispokua Brunei na kidogo Singapore , hao unaowaona hivyo wengi wao ni wageni wanapiga kazi mchana usiku hayo ndio makaazi yao, wengi wao wanakimbia makodi ya vyumba coz huo mji kodi ya chumba ni balaa jengine
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran sana mkuu.Dubai ni neither country and city!
Wanautawala wao, fedha yao, na katiba yao na Emirates zingine hivyohivyo.
Japo wanashea boda, na jeshi.
Mkuu raia kabisa wa UAE hakuna maskini, maskini wote ni wageni ambao cheap labors au watu wasio na ajira wanaotafuta fursa.
Iko wapi hiyo "truth"?Any truth dhidi ya waarab
Iko wapi hiyo "truth"?
Sasa jione wewe unavyopinga ukweli...
Wewe una ustaarabu.
Kiswahili ni lugha yenye ustaarabu mkubwa sana.
Bisha.