U upendo_20 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 1,433 Reaction score 55 Sep 16, 2013 #1 Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo.
Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo.
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Sep 16, 2013 #2 Ushindi wa kishindo kwa Afrika una walakini sana.
S ShockStopper Senior Member Joined Apr 10, 2009 Posts 124 Reaction score 56 Sep 16, 2013 #3 Nani anataka huo uchafu wa maigizo ya uchaguzi hapa? tupa kule!
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,312 Reaction score 7,880 Sep 17, 2013 #4 wema_1 said: Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo. Click to expand... Hilo ni jambo la kutarajiwa hasa baada ya kuutumia ipaswavyo mgogoro na TZ kujizolea ma'ujiko' 'fake'!
wema_1 said: Rwanda inafanya uchaguzi wa bunge leo huku chama cha rais Paul Kagame, Patriotic Front, kikitarajiwa kushinda kwa kishindo. Click to expand... Hilo ni jambo la kutarajiwa hasa baada ya kuutumia ipaswavyo mgogoro na TZ kujizolea ma'ujiko' 'fake'!