miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mwenzenu nlikutana na mpenzi wangu chuo huko Mtwara, tuliishi vizuri sana hadi mwaka jana nilipomaliza chuo na kurejea nyumbani na yeye akabak anaendelea na masomo maana nilikuwa namtangulia mwaka mmoja.
Na kwao ni Iringa.
Mpaka sasa tunawasiliana na naendelea kumpa support ya kifedha kama kawaida.
Tatizo linaloniumiza kichwa ni umbali tulio nao maana hakuna jinsi tunavyoeza kukutana kwa sasa.
Moyo huwa unaenda mbio pale napomtext alaf akachelewa kujibu, pia huwa naumia sana pale anaponambia umeme umekatika simu imeisha chaji hatokuwa hewani ukiachilia mbali vitu vingine kibao vidogo vidogo.
Huwa nikikumbuka niliyofanya nae chuo nahisi anaeza kufanya na mtu mwingine hasa nikikumbuka jinsi nilivomwingilia kirahisi na akamwacha mshikaji wake kiurahisi na nikawa nagegeda nitakavyo.
Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya nisiamini ni pale napomwambia amjibu ile meseji na anakataa. Kwa ufupi tuko mbali (mikoa tofauti) na siku kadhaa zimepita tangu tumekaushiana hatuwasiliani wala haombi msamaha.
yenyewe said:Nina mpenzi wangu wa kike ambaye sijaonana nae yapata miezi sita sasa.
Hii leo nakutana naye baada ya kuwa mvumilivu kwa kipindi kirefu.
Sasa wadau nisaidieni, ule mzigo nitajuaje kama ulikuwa haufunuliwi na wajanja wa mjini?
Kwa upande wangu condition niliyompa ni kutokuwa ananyoa ile mambo mara kwa mara, na huwa nataka akae akinitumia picha ili nione kitu kipo katika hali gani.
Yaani huku ni kunyong'onyezana jamani mweeeeeeeh teh teh
Nina mpenzi wangu yapata mwaka mmoja sasa.
Nampenda sana hasa anavyojituma kitandani. Binafsi nimekuwa nikimpa dozi ya maana maana mi nina uwezo wa kupiga mechi usiku kucha. Ila maranyingi tukishapiga kama mara tatu hivi huwa anasema kachoka hivyo tunatulia kwa muda.
Tatizo ni kwamba licha ya yote haya mpenzi wangu ajawahi kufika kileleni hata siku moja.
Pitia na hapa pia
14 Februari 2014
https://www.jamiiforums.com/mahusia...1-namkuna-ipasavyo-lakini-ajawahi-kufika.html
How trustable is binamu?..
Ngachoka kbs......nyang'ang'a.
Kumbe ndio sababu,
Anyamaze sasa
Hahaha Kiongozi anaomba ushauri kumbe kisa anakijua...Acha mjeda ajilie vyake
sawa. sasa sijui uchunguzi naufanya kwa njia gan.