Pitia hapa

Pitia hapa

Ningekuwa Mungu ningebadili umri wa balehe to 25
 
ushauri kwenye mambo ya kipuuzi!? embu fikiria kazi za kufanya sio upuuzi kama huu! mfyuuuuuuuuuu!

Umeandika kama umek....l..ia kitu alafu kinakuumiza,,,poyeee
 
ushauri kwenye mambo ya kipuuzi!? embu fikiria kazi za kufanya sio upuuzi kama huu! mfyuuuuuuuuuu!

Umeandika kama umek....l..ia kitu alafu kinakuumiza,,,poyeee
 
Girlfrnd unamshindwa unauliza mke je? Kwan mke huanza km nani? au unathan hufikia tu kuwa mke! U need prayers una jini jike wew, ndio anakufanya hayo
 
Ni matatizo ya kuanza kufanya matusi bado watoto na wasichana tofauti. Wewe ushakuwa addicted, kilichobaki mrudie Mungu huwasame wale wajutao na kuchukia dhambi. Mungu ni mwenye rehema atasame. Usiende kuombewa kabla hujatubu na kujutia dhambi, baada ya hapo muite mchungaji uombewe. Ni hayo tu.

umemaliza mkuu....
 
Girlfrnd unamshindwa unauliza mke je? Kwan mke huanza km nani? au unathan hufikia tu kuwa mke! U need prayers una jini jike wew, ndio anakufanya hayo
kwa mfano kuliko kuandika ----- ungekaa kimya ungepungukiwa nn/,,daah aya bana
 
Badilika maana umeshajua tatizo lako ni rahisi kubadilika.
Pia jifunze kujali hisia za wengine, imagine wewe ndo uchukuliwe poa namna hiyo...hope hutapenda.
Love your neighbor as love yourself.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom