Pitia hapa

Pitia hapa

Kwa maoni yangu binafsi na kwa kupitia uzoefu wa ukuaji naona ni hali inayopitiwa na wengi ukizingatia bado u kijana mdogo. Kwa wengi mahusiano mengi uwa ni trial na you learn as you grow. Watu wametofautiana wengine it takes few times wengine a million times. Embrace the experience and learn as much as possible na utashtuka tu umetulia sehemu.

I see. So should he embrace fornication for the sake of gaining experience? Haya ngoja nikae kimya!
 
Nafikiri tatizo lako ni mtu usiyekubali kushuka. Ukiwa na arguments au ubishi na mtu yeyote unataka siku zote ushinde. Sasa hilo siyo zuri katika mahusiano na siyo ya kimapenzi tu. Jifunze kusikiliza. Nenda google search " Empathic listening". Jaribu ku-practice na baadae utaona mabadiliko. Huenda hili tatizo la kukwaruzana unalo hata kwa wanaume wenzio kama sikosei. Kushuka siku zote haina maana umekuwa mjinga ila ni kitu kinatakiwa ili amani iwepo.

Thank alot mkuu umepita mule mule,,,Mungu akubariki for your concern
 
I see. So should he embrace fornication for the sake of gaining experience? Haya ngoja nikae kimya!

Nimemuelewa what she meant,,,it does mean i have to relax but i dnt have to fight it soo hard coz it always happen and when time comes it will go
 
Hili tatizo linawatokea vijana wengi sana na hii yote inasababishwa na makuzi yao na mfumo wa maisha wa vijana kuanzia mtaani mpaka mashuleni..
Hii kitu mie nmekumbana nayo katika njia tofauti ila katika mazingira kama hayo..

Wakati vijana wanapevuka kuna ile kasumba ya kila demu unataka upige so hii inakujengea mazingira ya kisaikorojia kwamba mwanamke ni chombo cha starehe, nakumbuka wakati tupo chuo watu walikuwa wanashindana kuingiza mademu geto hosteli na hawana hata chembe ya upendo ni kupiga tu hata ukimnunulia demu wako zawadi washkaji wanakucheka ooh umekamatwa..

Sasa matokeo yake ndio hayo unapofikia age ya kutaka kufanya maamuzi inakuwa ile kasumba imeshajaa kwenye akili yako...kiburi, dharau,umimi,kutotambua nafasi ya mwanamke na kutotimiza wajibu...Chukua hatua....timiza wajibu na tambua nafasi ya mwanamke.
 
Unajinsia ngapi wewe? Kwasababu hizo tabia na za watu wenye jinsia mbili (Ke+Me).....
 
Hili tatizo linawatokea vijana wengi sana na hii yote inasababishwa na makuzi yao na mfumo wa maisha wa vijana kuanzia mtaani mpaka mashuleni..

Hii kitu mie nmekumbana nayo katika njia tofauti ila katika mazingira kama hayo..
Wakati vijana wanapevuka kuna ile kasumba ya kila demu unataka upige so hii inakujengea mazingira ya kisaikorojia kwamba mwanamke ni chombo cha starehe, nakumbuka wakati tupo chuo watu walikuwa wanashindana kuingiza mademu geto hosteli na hawana hata chembe ya upendo ni kupiga tu hata ukimnunulia demu wako zawadi washkaji wanakucheka ooh umekamatwa..

Sasa matokeo yake ndio hayo unapofikia age ya kutaka kufanya maamuzi inakuwa ile kasumba imeshajaa kwenye akili yako...kiburi, dharau,umimi,kutotambua nafasi ya mwanamke na kutotimiza wajibu...

Chukua hatua....timiza wajibu na tambua nafasi ya mwanamke.

Thank u mkuu kwa ku-share experience,,i will work on it
 
Unajinsia ngapi wewe? Kwasababu hizo tabia na za watu wenye jinsia mbili (Ke+Me).....

Sidhani kama umelazimishwa kucomment unless upstairs umebeba nazi,,,,kako.....e ukalale tuache watu wazima tujadiliane
 
pole. ndo shida ya kuparamia mambo makubwa utotoni. Si muda wa kujilaumu bali wa kujisamehe na kuanza upya. nimewahi kusoma kitabu cha mtu aliyekuwa na tatizo linalofanana na lako. ningejua nitakutana na thread kama hii ningekariri jina la mwandishi lakini kama sikosei kinaitwa "things i never told you". kimechapwa kenya na mwandishi ni mkenya. Lakini kwa ujumla unachokutana nacho ni madhara ya uteja "addiction" na kuacha si rahisi ila inawezekana. Kila unapofikiri tabia imekoma unagundua bado ipo. Ndivyo ubongo ulivyo, ukishauzoesha kitu ni kazi kuubadilisha lakini usipokata tamaa njiani tatizo lako linaweza kabisa kuwa historia. Soma soma kwenye mitandao au uanze tiba ya kiroho ambayo kwa mazingira ya kwetu ni rahisi kuliko ya wanasihi wanasaikolojia.

Asante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom