rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
We alishakupata?...
vipi umemkubali swaga zake...unataka nimuite aje na kwako???
We alishakupata?...
am trying hard...
Usisumbuke sana ngoja ukishafika 30's maisha yatakunyoosha hutatamani vicheche na hao wanaokushobokea hutawaona, ukifika stage hiyo utatulia na utakaempata utatulia na kum care sana
NB, wagonge sana kwa sasa coz umri unaruhusu, mda unakuja ambao Utakumbuka hizo opportunity na hutazipata tena. Ni kipindi cha mpito tu
am trying hard...
Ninachoweza kukwambia ni kwamba bado hujapata mtu wakujicommitt nae kumpa moyo wako.Unavyopitia wewe sasa ni infatuation na si mapenzi ya dhati.Ni vyema ukijifunza kutofautisha hayo.When the right time and the right person comes everything with go smoothly coz true love doesnt vanish.Be patient.
Soma zaidi hapa:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/617822-tujifunze-kutofautisha-infatuation-and-true-
love.html
Yeah, unegonga ndipoKwa maoni yangu binafsi na kwa kupitia uzoefu wa ukuaji naona ni hali inayopitiwa na wengi ukizingatia bado u kijana mdogo. Kwa wengi mahusiano mengi uwa ni trial na you learn as you grow. Watu wametofautiana wengine it takes few times wengine a million times. Embrace the experience and learn as much as possible na utashtuka tu umetulia sehemu.
Ilikuwa lazima kukoroga na Kidhungu?
Will take tht into consideration
sasa unataka nini ....?