Pitia hapa

Pitia hapa

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Habari za majukumu wana jukwaa,

Ni muda kidogo umepita tangu niweke bandiko jukwaani,nimerudi tena nahitaji ushauri zaidi lakini pia kujaribu kuona kama kuna ambao wana experience na ambacho nakipitia katika umri huu.

Mi mvulana ambae kwa kweli siboi kimuonekano na kielimu,mpaka nimefikia umri (20's) nilionao nimekua kwenye mahusiano mara nyingi mnoo,,( nasema mnoo coz nimekua na mahusiano na wasichana tofauti tofauti wengi kias kwamba siwezi kuwakumbuka ote).

Nakumbuka tangu nimalize form four ndipo nilianza utundu mpaka namaliza form 6 apo katikati nimadate wasichana wengi zaid kuliko nilivyokua chuo na baada yakumaliza.Enzi izo nikiwa form 5-6 wasichana walikua wananshobokea na wengine ukimtongoza ata kama unatania anakubali hivyo kunifanya nijikute nadate na almost every gal close to me na kitu kibaya zaidi i ddnt knew the value of love ( yani ni chapa ilale).

Kwa kifupi sikua na muda and i dated 3-4 girls at once na haikua tabu, baada yakwenda chuo nkawa mvulana mzuri(kitabia) ambae i had a gal na alikua n mmoja baada yakuachana nae nkiwa third year i had several relationships ambazo they didnt work out kutokana either na mm au a second part.

Tatizo sasa
Nikiwa kwenye hatua za mwanzo za mahusiano hua nakua soo kind,caring and lovely angalau 3-4 weeks na baada ya apo nakua sieleweki tena na kama msichana sio mvumulivu bas within a month we are no longer.

Ichi kitu nimekua nacho mda mrefu ingawa najitahid sana kuji-control na kuficha ingawa bado kipo na it keeps on hapening.Hua najiuliza iv nini kitatokea nikioa maana girl friend mnaweza kuachana nae mda wowote ila mke vipi?

Kuna watu tofauti humu wanaelewa haya mambo tafadhali ushauri wenu ni muhimu
 
Kaombewe! huyo ni jini mahaba kama hujarogwa......
 
Ni matatizo ya kuanza kufanya matusi bado watoto na wasichana tofauti. Wewe ushakuwa addicted, kilichobaki mrudie Mungu huwasame wale wajutao na kuchukia dhambi. Mungu ni mwenye rehema atasame. Usiende kuombewa kabla hujatubu na kujutia dhambi, baada ya hapo muite mchungaji uombewe. Ni hayo tu.
 
Labda hujapenda unakua umetamani
unaweza ukawa umetamani ukajua umependa hivyo baada ya muda unakua umepoteza matamanio yako
nakushauri acha tamaa
weka viwango unahitaji mwanamke wa aina gani ila sio upo upo tu kama zombie
 
Duuuuuhhhhh...! Jipange tuu mbona unaweza ukawa na mmoja na at the end akawa wife
 
Ni matatizo ya kuanza kufanya matusi bado watoto na wasichana tofauti. Wewe ushakuwa addicted, kilichobaki mrudie Mungu huwasame wale wajutao na kuchukia dhambi. Mungu ni mwenye rehema atasame. Usiende kuombewa kabla hujatubu na kujutia dhambi, baada ya hapo muite mchungaji uombewe. Ni hayo tu.

sintamuita gwajima ila ushauri wako ntauzingatia
 
Labda hujapenda unakua umetamani
unaweza ukawa umetamani ukajua umependa hivyo baada ya muda unakua umepoteza matamanio yako
nakushauri acha tamaa
weka viwango unahitaji mwanamke wa aina gani ila sio upo upo tu kama zombie

mhhhhh sawa
 
He!! Kumbe muomba ushauri mwenyewe ndio wa hivi?
Sorry

That happens someone is seriously seeking for a help and councelling and one nigga is trying to get that someone off the truck lol:teeth:
 
Kwa maoni yangu binafsi na kwa kupitia uzoefu wa ukuaji naona ni hali inayopitiwa na wengi ukizingatia bado u kijana mdogo. Kwa wengi mahusiano mengi uwa ni trial na you learn as you grow. Watu wametofautiana wengine it takes few times wengine a million times. Embrace the experience and learn as much as possible na utashtuka tu umetulia sehemu.
 
This is what i was looking for,,,what someone may tell about what i experience,,santee and God bless u
 
ushauri kwenye mambo ya kipuuzi!? embu fikiria kazi za kufanya sio upuuzi kama huu! mfyuuuuuuuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom