pitia hapa

pitia hapa

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Nipo mwanza ninamizigo yangu ipo arusha nauliza nitawezaje kuisafirisha kuja huku mwanza? Naombeni mnisaidie wakubwa
 
Nenda ofisi za Zubery au Dar express wanapokea mizigo na kuileta Mwanza,au kama mizigo ni mikubwa kuna magari makubwa ya kubeba mizigo jaribu kuuliza upate ufafanunuzi apo arusha.
 
kama ni vifaa vya ndani unauza unanunua vingine mwanza
 
Back
Top Bottom