Pitia hapa ushauri wako muhimu

Pitia hapa ushauri wako muhimu

Pole. Kwa kuwa mapenzi ni upofu kama wengi wasemavyo (sio mimi lkn) BAADA YA MUDA UTAAMINI NI BAHATI MBAYA TU.

1. Kwamba hata kama alikua na shida alishindwa kukuambia nachukua apo kiasi flani either atarejesha au vipi (japo tabia mbovu hio)
2.Kwamba dalali alimshawishi akudhulumu, na kwamba hata dalali angemuambia akuache angekuacha.. tutajuaje na kama dalali hakumshawishi amchukue huyo mpangaji mpya au mama mwenye nyumba?
3. Kwamba alikua anategemea tu hela yako na tayari ilishaingia kwenye mahesabu yake zamaniiiii!!!
4. Kwamba wewe ni mzandiki sana angekuambia kama ana shida usingemsaidia
5. kwamba alimaitain uanaume wake hata kwa kudhulumu ili tu aonekane hajaomba.. si basi angetumia tu ubabe akuambie nimechukua apo kiasi flani..
6. Kwamba atabadilika mbeleni.. atakuwa mwema sana na hatashawishiwa tena.
7. Kwamba .............


hope mpo salama wakuu...
mwez umepita nikaja kuongea na dalali akasema yule mpangaj katoa hela yote laki na nusu.nikaongea na mpangaj akasema ndio katoa yote.nkampgia cm mpnz wang anasema dalali alimshawish afanye hvyo nimsamehe sana.kiukwel mpnz wang kupanga njama ya kunidhulum naona maajab.nimechanganykiwa sana.
Wakuu hv huyu mwanaume atanifaa kwel au nimwache?
 
huhuhuuuuuuu nacheka kama mazur mweeee yan umrchanganyikiwa kwa pesa hiyo tyu?? kumbe pesamr nikajua nini sijui bai ze wei huyo ni tapeli anakufanyia udalali hadi wew duuuu
 
Lol nmecheka sana, hv mnatokaga wapi na visharo??aya bi mkubwa hizo ndo gharama ila mbna n pesa ndogo unalia lia nini wakati unainjoigi mwenyeweeee!!
 
Haaaaa!!!! Kumbe n lijanaume!!!!! Tupa kule, tupa kwa dustbin haraka sana...kghaaaaa.kama kashawshiwa n dalal kakubal s anaweza hata akashawshiwa na majambaz yakuuwe na akakubal...tupa kule haraka sanaaaa
 
Acha ubahili binti,sh ngapi hiyo ya kulialia na mpenzi wako?Wanawake wengine bwana!!bahili sana.

Mtu mwenye akili timamu hawezi fanya kitendo alichofanya jamaa maybe awe na tabia ya wizi.
Jaribu kufikiria mkuu! Comment yako inafanana na majibu ya yule mzee wa vijisenti. Sijui nawewe ni uzao wake? Au mama yako alikuwa mchepuko wake?
 
Achana nae huyo hakufai,hebu ni PM tuanzishe yetu
 
sina mawazo ya hela,but future life.

Kama unawaza kuhusu future life kwa nini usimsamehe na kumueleza wazi kuwa hujapendezwa na hicho kitendo chake...

Sisi tutajuaje kuwa labda wewe ni mchoyo na alijua akikuomba wala hutampatia hata senti tano...

Uaminifu ni jambo la kheri lakini mtu asipofanya uaminifu haimaanishi kuwa hawezi kuonyeka...

Hivi wewe bi mkubwa ni mara ngapi umekuwa si mwaminifu mbele za Mungu lakini kwa kuwa Mungu hutupenda sisi wanadamu amekuwa anakusamehe na kukupa tena nafasi...

Kama unaamini mnapendana basi jifunze kusamehe pia
 
Asee hela ngumu..na uaminifu pia muhimu...achana na wezi.. usifuge wezi hata kwa bahati mbaya
 
Kama unawaza kuhusu future life kwa nini usimsamehe na kumueleza wazi kuwa hujapendezwa na hicho kitendo chake...

Sisi tutajuaje kuwa labda wewe ni mchoyo na alijua akikuomba wala hutampatia hata senti tano...

Uaminifu ni jambo la kheri lakini mtu asipofanya uaminifu haimaanishi kuwa hawezi kuonyeka...

Hivi wewe bi mkubwa ni mara ngapi umekuwa si mwaminifu mbele za Mungu lakini kwa kuwa Mungu hutupenda sisi wanadamu amekuwa anakusamehe na kukupa tena nafasi...

Kama unaamini mnapendana basi jifunze kusamehe pia

Braza Bana ni noma sana kwa mwanaume kutegemea mshiko wa Manzi 'ake, tena hawara!! Ingekuwa wife sawa....

Huyo Jamaa 'ake love peace ni Poyoyo tu.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kitendo alichokufanyia hujapendezwa nacho na umsamee,hakuna mtimilifu yawezekana nawe ulishamkosea akakusamee.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi fanya kitendo alichofanya jamaa maybe awe na tabia ya wizi. Jaribu kufikiria mkuu! Comment yako inafanana na majibu ya yule mzee wa vijisenti. Sijui nawewe ni uzao wake? Au mama yako alikuwa mchepuko wake?
Dah,mkuu umefika mbali sasa!!mpaka kwa mama yangu aliyeshamba huko!
 
Ishu hapa si hela ila ukweli na uaminifu; kwa maana mpaka hapo hakuna mkataba wa ndoa, sasa je, kwa tabia hii atafaa kuwa mwenza wa kudumu?

Mi naona sema naye, akikiri kosa na kuomba msamaha panga kipindi cha mpito usome tabia yake zaidi. Huenda sisi tuliosalia tukawa na matatizo zaidi ya hayo!
umedandia train kwa mbele mkuu... by the way, subject matter ya hili tukio ni nini?
 
umedandia train kwa mbele mkuu... by the way, subject matter ya hili tukio ni nini?

Hujanielewa? Mleta mada kasema kadhulumiwa na mpenzi wake na mume mtarajiwa; na hii inaonesha kuwa huyu bwana si muaminifu.

Nikaona kwamba wanaweza kuongea hili jambo na huyu mtu akaomba msamaha, wakaendelea. Na kama huyu dada atakuwa bado na wasiwasi kuhusu tabia zake anaweza akajipa muda fulani wa kumsoma, akijiridhisha basi wanaweza kukubaliana maisha ya kudumu.

Kuchukuliwa hela zake inaweza isiwe sababu ya kuachana, makosa mengine huweza kusamehewa. Kama kaona huyu bwana hafai kwa ajili hiyo yawezekana akampata mwingine na akawa na matatizo zaidi yake! Hapo ndio mbele ya treni? Hata hivyo umepotea muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom