[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahaha ..akikujibu nistue!
Pale unapokosa cha kufanya na kuamua kupost upuuzi ili kudharirisha iman ya mtu mwingine.
Mkuu sikuwa na nia ya kuidhalilisha imani ya mtu yoyote. Rejea kichwa cha uzi.Pale unapokosa cha kufanya na kuamua kupost upuuzi ili kudharirisha iman ya mtu mwingine.
Hekima na busara ni vitu viwili muhim sana kweny maisha yetu. Je, umejipanga kupokea matokeo ya vita uliyoianzisha???
# kila mmoja aeshimu imani ya mwenzake.
# mpaka afe mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
mshana jr inabidi atusaidie hapaMkuu huo ndio ungo wa kichawi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepata cheo cha expert member ndani ya siku 10 tangu nijiunge na JF.
Kwa utaalam wangu, sioni umuhimu wa Uzi kama huu kuwepo hapa JF, mods tafadhali futeni Uzi za kipuuzi kama hizi
Nikajua JoseHuyo ndio wewe??
Upepo vipi mbona hajajikinga
JF aupo peke yako kila uzi una watu wake.Nimepata cheo cha expert member ndani ya siku 10 tangu nijiunge na JF.
Kwa utaalam wangu, sioni umuhimu wa Uzi kama huu kuwepo hapa JF, mods tafadhali futeni Uzi za kipuuzi kama hizi
Kunya boga basiJF aupo peke yako kila uzi una watu wake.