Hahahaha ..akikujibu nistue!Huyo ndio wewe??
Ungo wenyewe ulishavunjika..tehHahaaa demi bana wanataka kukupok ungo wako
Don't mind me
ni vizuri ukawa na staha na imani za wengine, huyo mtu yuko kwenye ibadaa ,ACHA DHARAAU. inawezekanaj nguo zisipeperuke kwa mtazamo wako.........?