Pitia hapa kama hujawahi kuuona ungo

Pitia hapa kama hujawahi kuuona ungo

Tatizo letu ss waafrica uchawi wetu sio wa manedeleo kama wa wenzetu.
 
Ungo wenyewe ulishavunjika..teh

Hapo sasa, nimefungua uzi mbio mbio nipate shuhudia ungo ambao hua tunaambiwa tu umevunjika, nikasema leo ngekewa nauona ungo, kufungua uzi, chengachenga tu.
 
Kwanza Moderator futeni huu uzi, kwa maudhui yake, mtapiga watu ban mda si mrefu.

Hiyo picha ni kama mtu anasali, imefanyiwa editing kuaminisha watu yupo mawinguni ikihusishwa na uchawi.
Sioni sababu ya kuendelea kuuacha huu mjadala wenye chembe chembe za uchochezi.
 
Kama hujawahi kuona mtu akipaa na ungo basi tupia jicho hapa


View attachment 586412
Mze Mpili bwana, yaani huyu Mze asipojenga magorofa mwaka huu mpaka mwaka wa uchaguzi mkuu ndiyo basi tena hatokuja kujenga tena. Kwa sasa anakula na wabunge tu na viongozi wengine serikalini. Hii ya Yanga ilikuwa ni kujitambulisha rasmi kuwa yeye ni nani, mwoneni hapo anavyokaribia Selous kuelekea kwao Rufiji.
 
Back
Top Bottom