inaendeleaa
Heaven on EarthUnimention kila muendelezo basiii
Heaven on Earth
vipi kuhusu sisi tunaotumia mchina, hebu nisaidie kunielewesha
Hauzioni picha mkuu......
Ni hadithi ya picha ndio imeanza lakini.... Kama huoni nitakuandikia manenoo
Heaven on Earth
vipi kuhusu sisi tunaotumia mchina, hebu nisaidie kunielewesha
Matola aanze kumchangia kabla hajafanya donation kwa Baba Daikumbe watani zetu hata simu mnatumia mchina looo
Eti ni kweli kama unapigwa na Wazee matokeo ya Uji wa Mtama ni haya ?