Pisi za South

Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Hakuna wa kufananisha na South Africa ikija Kwa Wanawake, Kuna Kila type za Wanawake Toka pande zote za Dunia, Unakuta Dada mkaliii type ya kina Wema Sepetu ama Irene uwoya walivyokua Mabinti, sio Hawa Waliozeeka, hafu ana date Machinga muuza viatu Street.
 
South mashine ya kufulia ipo ya laki moja na nusu used au rejected kutoka kiwandani mpaka mashine ya kuosha vyombo ni laki nne mpya bongo mashine ya kuosha vyombo utaikuta kwenye hotel kubwa na sio mtaani..
 
Hawa jamaa sio wenzentu, south ni ulaya, baadhi ya nchi za ulaya hawaiifikii south,,,mkabulu aliijenga sana south na siku wakija kutawala tena kupitia chama chao cha DA south itakua habari ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…