Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
EndeleaAibu naona mie!
EndeleaAibu naona mie!
Nyama,mainiCommrade una kulaga nini sasa?
My queen is gumihoNyama,maini
Aroma=ShomboKwa hivyo viungo , tui la nazi, giligiliani na hio beef cube hivi ile aroma ya asili ya dagaa bado ipo kweli?
Kama nyama ikichomwa kwa kuni, inakuwa na ladha nzuri sana, unatia chumvi tu, unapata ile smoky flavor, aroma ya asili kabisa ya nyama na unajisikia unakula nyama... sipendelei spices nyingi...
Pishi zuri by the way, dagaa ni chakula kizuri sana kwa kujenga mwili, gram 100 za dagaa wakavu zinakupa protini nyingi sana kuliko mayai kwa uzito huo huo. mayai yanaingia mara 4 zaidi...
Msishangae kwanini wanawake kutoka kanda ya ziwa wana maumbo flani ya kibantu, dagaa hizo.. 😆
Dagaa wameondolewa mchanga wotee?Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica
Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga mwenyewe,nyanya ,kitunguu,chumvi,giligilan na beef cube nikakaanga vitunguu nikaweka giligilan zangu Kwa ambao hamjui giligilani ni kiungo Cha chakula kina harufu yake ya kipekee sana sisi huku kwetu tunapenda kuweka kwenye mboga ndizi nyama na hata pilau harufu yake ni murua hapo nimeweka kuondoa harufu ya shombo za dagaa nikaweka nyanya pamoja na chumvi nyanya zimekaribia kuiva nikaweka dagaa zangu nikaweka na beef cube nikaweka tui langu azam coconut nikaweka giligilan Kwa mara ingine karibuniView attachment 3482360View attachment 3482359View attachment 3482358View attachment 3482357View attachment 3482356View attachment 3482355View attachment 3482353View attachment 3482352View attachment 3482349
View attachment 3482344
Watoto ndiyo wanatakiwa kula sana hizo maana zina calcium nyingi ya kujenga mifupa.Khaaaa aiseee watakula had wacheue Sina mzaa
Nimekuelewa sasaMaelekzo ya Dr aseh
Naaam bossNimekuelewa sasa