Pishi la ugali na dagaa

Pishi la ugali na dagaa

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
2,562
Reaction score
8,090
Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica
Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga mwenyewe,nyanya ,kitunguu,chumvi,giligilan na beef cube nikakaanga vitunguu nikaweka giligilan zangu Kwa ambao hamjui giligilani ni kiungo Cha chakula kina harufu yake ya kipekee sana sisi huku kwetu tunapenda kuweka kwenye mboga ndizi nyama na hata pilau harufu yake ni murua hapo nimeweka kuondoa harufu ya shombo za dagaa nikaweka nyanya pamoja na chumvi nyanya zimekaribia kuiva nikaweka dagaa zangu nikaweka na beef cube nikaweka tui langu azam coconut nikaweka giligilan Kwa mara ingine karibuni
FB_IMG_1759408281152.jpg
FB_IMG_1759408255294.jpg
FB_IMG_1759408244515.jpg
FB_IMG_1759408236977.jpg
FB_IMG_1759408231929.jpg
FB_IMG_1759408227766.jpg
FB_IMG_1759408222101.jpg
FB_IMG_1759408216503.jpg
FB_IMG_1759408209932.jpg

FB_IMG_1759408205319.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom