Pishi la Biriani

Kwanza rangi zinaongeza utamu ama zinawekwa za nini? Mi sipendi utami kwenye chumvi. Najiwekea karoti na njegere na huo wali nikiukaanga na swaumu basi boonge la dishi.
rangi zenyewe mchina mtupuuu...sumu sthumu! bora uweke zabibu
 
amu,
Kuna kitu huwa nakisikia nyumbani wakitaka kupika biriani wanaita gulam masala mbona sijaiona.
 
Last edited by a moderator:

ndo maana nikasema kuna viungo vingine sioni umuhimu wake kimojawapo gullam masala
 
odo amu nilikuja kurenew marufundi natoa kitu this weekend!
takuwekea picha! Kaunga kuja huku!
hebu jipikilishe hii kitu asee!
mi ntamiksi na zabibu kavu nitafute utamu flani hv nahis itatokea odo au?
 
Last edited by a moderator:
odo hujatest tu?zabibu kavu itanoga sana uwiii n

akuonea wivu
odo amu nilikuja kurenew marufundi natoa kitu this weekend!
takuwekea picha! Kaunga kuja huku!
hebu jipikilishe hii kitu asee!
mi ntamiksi na zabibu kavu nitafute utamu flani hv nahis itatokea odo au?
 
Last edited by a moderator:
Amu ushawahi kula biriani ya samaki wa.kingfish? Mpaka leo sijaipatia mwenzake.
Kama wewe unapenda hayo mapishi tumia basmat aina ya Daawat. It's so sweet
 
Nimetoka kupika biriani. Yaani huwezi amini Majangaaaa
  • Mchele ulivyopakuliwa umetoka mweusiiiiiiiii sitanii yaani rangi nyeusi na kijani hata weupe hauonekani

  • Kwenye mchuzi ma Karot yamegoma kuiva sijui kwa kuwa hukusema na mimi nikaweka makubwa makubwa. Maana karot zinawekwa mwisho.

  • Ma pilipili hoho pia nayo yanatafunika kama mabichi vile.

  • Hiii Giligilani inaelea tu juu yaani inaonekana kama mboga za majani zimetiwa mwishoni, inatafunika lakini imeleta sura mbayaaaa kichizi.

  • Ninavyokula kuna ladha ya pilipili na mimi sikuweka sa sijuiii zimetoka wapi.

Kiufupi amu umenisaidia nimepata idea lakini next time sema na Quantity ya viungo. Mfano Currypowder nimemiminia pakti yoote matokeo yake imezidi ile mbaya.

Hukusema ni wakati gani unaweka Royco Mchuzi mix ingawa umeitaja.

Pia badala ya mtindi naweza kuweka kitu kingine? Ladha ya mchuzi imepotea kabisaa nadhani ni kwa sababu ya huo mtindi.
 
ha ha ha ha pole afu umencheksha mpaka watu wananishangaa ngoja nitakujibu baadae kidogo sahivi nina mijikazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom