Pishi la Biriani

Hahahah pole

Maana nimecheka badala ya kusikitika



Nimetoka kupika biriani. Yaani huwezi amini Majangaaaa
  • Mchele ulivyopakuliwa umetoka mweusiiiiiiiii sitanii yaani rangi nyeusi na kijani hata weupe hauonekani


  • Kwenye mchuzi ma Karot yamegoma kuiva sijui kwa kuwa hukusema na mimi nikaweka makubwa makubwa. Maana karot zinawekwa mwisho.


  • Ma pilipili hoho pia nayo yanatafunika kama mabichi vile.


  • Hiii Giligilani inaelea tu juu yaani inaonekana kama mboga za majani zimetiwa mwishoni, inatafunika lakini imeleta sura mbayaaaa kichizi.


  • Ninavyokula kuna ladha ya pilipili na mimi sikuweka sa sijuiii zimetoka wapi.


Kiufupi amu umenisaidia nimepata idea lakini next time sema na Quantity ya viungo. Mfano Currypowder nimemiminia pakti yoote matokeo yake imezidi ile mbaya.

Hukusema ni wakati gani unaweka Royco Mchuzi mix ingawa umeitaja.

Pia badala ya mtindi naweza kuweka kitu kingine? Ladha ya mchuzi imepotea kabisaa nadhani ni kwa sababu ya huo mtindi.
 
SWALI: Hivi "recipes" zenu hizi zimehakikiwa na TFDA au hata TBS na Mkemia Mkuu wa Serikali ? au mnatulisha sumu bila sisi kujua ....!? Kama hamtanipa jibu la kuridhisha,.... ....mwakani nagombea Ubunge...na kazi ya kwanza nitakayoifanya nikuhakikisha ...kunakuwepo na Chef Registration Board(ChRB) ambayo kwa kushirikiana na TFDA watakuwa wanahakiki na kudhibitisha utalaamu wa Wapishi(Chefs), vyuo vinavyotoa mafunzo ya upishi, na kupitia recipes zote kuona kama hazina madhara kwa mlaji na kadhalika na kadhalika..... Hasa kwenye recipes ChRB ikishirikiana na TFDA itahakiki recipe zote za mapishi ya makabila mbalimbali hapa nchini na kuzirasimisha.....hii ni kwa kuanzia katika kuipangia kazi kwa ChRB. Hivyo tafadhali nahitaji majibu ya kuridhisha katika swali langu la msingi. =TUJITEGEMEE.

Vipi ubunge ulishagombea? Au zilikuwa hadithi tu baada ya habari
 
Wananchi waligoma kulinda kura...! Nikaenda na mafuriko....! Navizia viti vya nafasi za kuteuliwa na rais zile kumi za Ubunge.

Basi hakuna namna inabidi ufanye mpango tukale biriani kwa amu
 
Last edited by a moderator:
Mtindi ndio unaoniangusha ila nikiweza kutengeneza mtindi Basi lazima nijaribu kulipika biriani.
Nalog off
 
Mtindi ndio unaoniangusha ila nikiweza kutengeneza mtindi Basi lazima nijaribu kulipika biriani.
Nalog off

Si ununue wa ready made? Au chukua maziwa ya ng'ombe fresh km 2 cups kamulia ndimu au limao yatakua mazito km mtindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom