Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
But in the end, does it only affect the ordinary people?"Poaching is an economic crime against ordinary people and their futures"
Prince William
Ndiyo mkuu, yule mjukuu wa malkia alitebgwneza Fulani fupi alipokuja. Ndani ya Fulamu hiyo hajuweka mazungumzo aliyofanya na wataalamu wa Kiafrika. Ni mazungumzo a mwanafunzi mmoja tu mwe uzi akiuliza swali.Kingreza
Since it’s an illegalbusiness, the money never goes back to support the local communities.But in the end, does it only affect the ordinary people?
Remember poaching is not only against endangered animal species but of other living organisms too.
Anatudolishia wanaeNdiyo mkuu, yule mjukuu wa malkia alitebgwneza Fulani fupi alipokuja. Ndani ya Fulamu hiyo hajuweka mazungumzo aliyofanya na wataalamu wa Kiafrika. Ni mazungumzo a mwanafunzi mmoja tu mwe uzi akiuliza swali.
Kwa kifupi ujumbe wa Prince ni kuwa sisi waa Afrika tunauwa wanyama kwa tamaa ya pesa na sasa wakombozi wa kizungu wamekuna kuwaikoa.
Prince amaingezea akiwa kwenye mkutano kuwa hali ni mbaya sana hata watoto wake Geoge, Charlotte na Louis wakifikisha miaka 20 si ajabu wanyama kama tembo, rhinos, eat watakuwa wamepotea kabisa duniani.
Yaaani.... .. Bread and butter..!Kabisa lakini George ka handsome