Pipooos power mpaka polisi!!!

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Wadau hii nimeiona ktk mojawapo ya mikutano ya cdm,polisi wakikunja ngumi kuitikia salam ya nguvu ya umma,nimekubali pipooos pr ni noma na ndo sababu labda ya serkali nzima kuchanganyikiwa wameona hata vyombo vya dola wanavyojidai navyo vitawahasi muda si mrefu,mmeuona jaman mkutano wa pm pale bkb?nilifikiri mkutano wa diwani wa kashai
 
Ish! Hao wala rushwa c jambo la ajabu kuwaunga mkono CDM
 
Wadau hii nimeiona ktk mojawapo ya mikutano ya cdm,polisi wakikunja ngumi kuitikia salam ya nguvu ya umma,nimekubali pipooos pr ni noma na ndo sababu labda ya serkali nzima kuchanganyikiwa wameona hata vyombo vya dola wanavyojidai navyo vitawahasi muda si mrefu,mmeuona jaman mkutano wa pm pale bkb?nilifikiri mkutano wa diwani wa kashai

Hatukuona mkuu,
tupelekee picha kama unaweza
 
Polisi wameanza kujua kusoma majira ya nyakati-wanawazidi pinda na mkwere!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Pipoooooooooosssss Pawaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thithiemu wajiandae kukodisha usalama(Polisi% Jeshi)kutoka nje kwani huku ndani kushabadilika watiifu watakuwa wachache na hawapo tayari kuwaumiza ndugu zao wakati wanadai haki ya kweli kwa faida yao pia.Sijui kama mgao wa umeme polisi hauwagusi...!!Nikiwa namaana labda wao wanapata umeme 24/7 hrs!!!??? Dowans wakilipwa na mlipuko wa ongezeko la bei sijui kama wao wanapata sukari bure,au labda mishahara yao imeongezeka...Sina majibu ya khali hii kwao...Kwa hiyo sishangai wakinyoosha mikono kuunga mkono point za Rais wangu Dr. Slaa.Walitakiwa wangenyoosha na mguu kuonyesha msisitizo zaidi...Na wao ni watu bwanaaaaa..!!
 
Shida za polisi na wanajeshi ni hizi hizi zinazopigiwa kelele na CDM.Nature ya kazi yao haiwaruhusu kuandamana.
 
Back
Top Bottom