Ekotitee!Kanga fotooo!Bwana mkubwa haamini kama hakupata usingizi.
The industry!
Huwa wanajiorodhesha kwa kuachia ballistics zao utawaona tuπWataje tuwajue, usinitaje mimi lakini. π
Uko sahihi, lakini pale kwenye kujifanya nna maisha ya juu wakati huku nje nasota, kwakweli najitahidiππ½ββοΈNakataa, we ni mtu poa sana huna shida.
Kwanza muda wote mnaona wengine ndio wana shida hiyo na mpaka mnawaambia bila aibu, kumbe tatizo kubwa unalo mwenyewe mpaka watu wanajiuliza wakusaidiaje uwe normal πNa ukituona huwezi kudhania π
La walokole hahahWrite your reply... MIMI NA SERAN TUPO KUNDI GANI HAPO MKUU
Kaacha makundi mengi sana ππSie tupo kundi la makapuku , pangu pakavu
Mshana hajali-addressππ
We muache aiku anikute nimechanganyikiwa simuachi, ana tabia za kishenzi kweli!Niko radar
Namfuatiliaππ