Mimi je 😁Nimegundua sipo kwenye kundi lolote🤣🤣🤣
Na ukituona huwezi kudhania 😁90% wana hii shida
Mimi je 😁
Tuma za kumalizia siku na kwa nguvu ya mkono….au vipi Mshana Jr na secretarybird?
Kwa watoto hao 🤣hata wanipeleke kwenye Bahari ya🔥SawaAtakusamehe buuuree ila ibilisi shetani hatakuacha😂
Sijui!?🙌🏿🏃🏿
😀😀😀Naona Nigga, hata akigoma kula atazibwa pua kusudi ale maana wakumshika wapoShauri yako😀🙌🏿🏃🏿View attachment 3667113
dah! Glory to GOD on high!!!
Mzee hapa umezinguaaa dah
Na hawa ni The Icebreaker ephen_ Lamomy mshamba_hachekwiKundi la nne ni Wazee wa Kutupia "Madongo" na Kauli Matata ambao kazi yao kubwa ni kujibu nyuzi za wenzao kwa kutumia vijembe, dhihaka za kirafiki, au maneno yanayoweza kukukosesha usingizi usipokuwa na moyo wa chuma. Wana sifa ya kuwa na maneno yenye shombo lakini ya kuchekesha, na ukijichanganya kuleta mada isiyo na mashiko, wanakushushia kauli moja matata inayokata stimu na kukufanya ujutie kuanzisha uzi huo.
Tatizo lako unataka kuniita wifi ila kaka yangu hakutaki.Na hawa ni The Icebreaker ephen_ Lamomy mshamba_hachekwi
Hawa wote wanamaisha magumu huko walioko hawana amani, kutwa wamegubikwa na nongwa tu