Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
huyu jamaa itakua bado anaishi kwaoUna umri gani wewe jamaa asbh yote hii tunawaza hela we unazungumzia uzinzi
hahahahahaNi kama umelowekwa kwenye beseni la nyege
Sasa unadhani Nani wa kunisaidia mwanamke Juu ya swala la pipe?!Ndiyo, na wewe Je?
Bro embu soma swali unaweza onekana kituko bila kujijua
Hiyo hali hutokea pale kichwa cha chini kinaposhinda maamuzi ya kichwa cha juu.Nipo na machalii yangu flani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka
Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi, mtanashati lakini sielewi kwanini mumewe ana chepuka tena live bila chenga Hadi huruma
Chalii 2: Madogo, pipe kama Pipe Mpendwa huwa hainaga huruma. Mwanamke anaweza akaja WA Hali zote nzuri Ila shida sio mwanaume shida NI pipe ya mwanaume, haiangalii mazuri yenyewe unajua kupeleka Moto Tu muwe mnatusamehe sio Sisi NI pipe[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti jaman NI kweli?! Pipe kama Pipe hainaga huruma?! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unasoma pipe Kama pipe au siyo?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasoma comments tyuuuuh
Lol!πππ
Money Penny kwani wewe wakati unapelekewa moto wa pipe unahisi ina huruma au haina huruma?
Alafu huruma ya nini wakati ndinju zenu zinahimili mikikimikiki...
Cc: mahondaw
Nipo na machalii yangu flani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka
Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi, mtanashati lakini sielewi kwanini mumewe ana chepuka tena live bila chenga Hadi huruma
Chalii 2: Madogo, pipe kama Pipe Mpendwa huwa hainaga huruma. Mwanamke anaweza akaja WA Hali zote nzuri Ila shida sio mwanaume shida NI pipe ya mwanaume, haiangalii mazuri yenyewe unajua kupeleka Moto Tu muwe mnatusamehe sio Sisi NI pipeπππ
Eti jaman NI kweli?! Pipe kama Pipe hainaga huruma?! ππππ
Kwenye ngono ndiPo ulipozaliwa
Kwahiyo USINIFOKEE