Habari... ni muda mrefu sasa sioni matangazo ya hawa jamaa... ikumbukwe kuwa hata Jf walikuwa wanatumia sana matangazo ya Pinpoint. Website yao pia haipo hewani na ile nafasi ya tangazo lao hapa Jf imebaki wazi. Maxence Melo tatizo ni nini kwani?
Wanaweka matangazo ya biashara kwenye blogs na website mbalimbali... yaani wenyewe wanatafuta watu wanaotaka kujitangaza online halafu wanaweka matangazo yao kwenye site mbalimbali.... kwahiyo advertiser atawalipa wao...wao wanawalipa wamiliki wa site zinazo onesha matangazo.
Habari... ni muda mrefu sasa sioni matangazo ya hawa jamaa... ikumbukwe kuwa hata Jf walikuwa wanatumia sana matangazo ya Pinpoint. Website yao pia haipo hewani na ile nafasi ya tangazo lao hapa Jf imebaki wazi. Maxence Melo tatizo ni nini kwani?
Maxence Melo tafadhali jiungeni na seebait najua si mara zote wanakuwa na matangazo ila naamini jf ikijiunga mambo yatakuwa safi sana.... wanajitahidi kwakweli.