Uko sahihi mkuu kusema mambo ya siasa hujui, pia uko sahihi kusema "Huenda....".
Nini tunapata ukakasi kusema kama zamani, "Jiwe muuaji, jiwe mtekaji, jiwe dikteta, jiwe mwizi n.k..."
Leo tunawena "sintofahamu" nyingi, kuogopa? Ahahahahahah...sema suuu, uwe MHAINI😄
Nani atathubu kukuhujumu kwa kila jambo ikiwa anajua atakutana na nini?
- Mengine hata hayapaswi kuita hujuma endapo unao utashi wa kuulizaz maswali sahihi na kuuinisha taarifa.
- Unapewa jina la marehemu utangaze uteuzi.
- Unapewa jina la Fresh from school umpe Ukurugenzi wa shirika
- Unapewa taarifa za umeme kuenea vijiji zaidi ya vijiji vilivyopo nchini
- CAG anakuambia mambo ni ya hovyo, we unasema tumepiga hatua
- Unaambiwa ununue umeme Kenya kisa watu wanafanya hivyo na ni ngumu kusafirisha umeme bila loss, wewe sawa! Nyuma kidogo, mlisema mtauza umeme nje bwawa likikamilika, how? Mtasafirishaje?
Watu wale kwa urefu wa kamba, deni limetoka trilioni 60 kwa miaka 60 mpaka 100 kwa miaka 4, hakuna la maana zaidi ya watu kadhaa kuwa na ukwasi usiondikika, huku nchi ikikosa pesa za kigeni na inflation halisi mtaani ni 300%, wewe uone UNAHUJUMIWA?
Si ajabu sheria ni moja tu sasa, takwimu zitolewe na taasisi ya takwimu tu ambayo ndo hiyo inayosema inflation ni 3.3%