Elections 2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

Jamani mnasubiri nini, Tendwa alisema jibu lake la kukataa pingamizi la Chadema atawapelekea NEC na kwenye vyama husika, vyama ndivyo vitakavyotoa taarifa kama vitapenda, kwa sasa anaendelea na mkutano wa Baraza la ushauri la vyama vya siasa, habari ndiyo hiyo.
 
Naomba up to dates za matokeo ya pingamizi la CHADEMA dhidi ya CCM
Yaani wewe post ya kwanza unaanza na kuomba updates kuna mtu humu ulimtuma be serious mpigie simu Tendwa atakuwa nazo
Ringmaster
Join Date Mon Sep 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
 
Nimesikia ametoa maamuzi yapo katika bahasha imepigwa muhuri wa SIRI, Chadema hawajaifungua wanajadiliana kwanza na wanasheria
 

jamani mbona mtoto anaezaliwa leo hii pale annex muhimbili anajua jibu hii ni kujaza threads
 

Nimeipenda avatar yako
 
hahaha
Kabisa bwana, yaani anaingia kama maliwatoni? Salaamu kwanza bwana!!!
Au ndo mapandikizi yenyewe, manake wameingia wengi sana mwezi uliopita.. na haraka haraka utaona issue wanazoshobokea
 
Yaani wewe post ya kwanza unaanza na kuomba updates kuna mtu humu ulimtuma be serious mpigie simu Tendwa atakuwa nazo
Ringmaster
Join Date Mon Sep 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0

Ahaaaaaaaaaaaa:confused2:
 
msameheni...........
Yaani wewe post ya kwanza unaanza na kuomba updates kuna mtu humu ulimtuma be serious mpigie simu Tendwa atakuwa nazo
Ringmaster
Join Date Mon Sep 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
 
Badala ya kusubiri jibu la Tendwa ambalo ni multiple choice yenye option moja bora tujiulize what is Chadema's next step.
 
Mbona unaingia bila hodi? Umetumwa? Jitambulishe halafu tujue uko upande gani -- wa mafisadi au wale wanaofisidiwa?

Inabidi kusupport upande fulani ili uwe member hapa? Na sisi tusiofungamana na upande wowote inakuwaje?
 
Hana fedha ya kushughulikia mapingamizi. Kwa sasa ana ratiba ya kwenda mikoani kutoa elimu juu ya sheria mpya ya gharama za uchaguzi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…