Jamani mm mwenzenu siamini! wapo wanaume wa namna hii karne hii ya leo?
FURAHA NDANI YA NDOA
1. Usiwe na hisia zinazopita kiasi= Bali kuwa na Imani
2. Kamwe usikate tamaa= Endelea kujaribu
3. Usifanye mambo kuwa magumu= Chukulia kawaida tu
4. Usichukulie vitu kwa umakini kupita kiasi= Yacheke matatizo.
5. Siku zote usikue= Ishi kama mtoto/kijana.
Tupo wengi sanaMhhhhhh wapo kweli wanaume aina hii??...
Kama siafu dume na jike..!!!Ni kweli, mwanamme akipenda familia inakuwa na amani, ushirikiano kama siafu.
Kama wamekuelewa wafanyie hili kazi wanaiwaza kwenda promised land.
kuna vitu nimejifunza hapa