Pindi Mwanaume akimpenda mwanamke

Pindi Mwanaume akimpenda mwanamke

Dah mi sijasoma ndefu mno..next time summarise bana

Hapo imekuwa summarised, ing'ekuwa kama ilivyo ni nouma. Mkuu kibongo bongo hatuna mazoea ya kusoma vitabu. Ndio tatizo lako na weng'ine.
 
Hapo imekuwa summarised, ing'ekuwa kama ilivyo ni nouma. Mkuu kibongo bongo hatuna mazoea ya kusoma vitabu. Ndio tatizo lako na weng'ine.

Hahaha kwa kweli sisi nadhani tuna genome ya kutopenda maandishi ndio mana hata arguments zetu nyingi zinategemea maisha yetu tuu hatuna reference za wengine-hatusomi
 
Sijakosea, ulichokiandika ili kitimie lzm uwe teja au upulize bange. Ki kawaida bd sana
 
Kizazi kile kimepukutika wao walijaribu kwa asilimia 85, ss tumevurugwa 100 percent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom