hayo mambo huwa yanasemwa sana na viongozi wanaoingia madarakani.Ni mifano kama miwili,wakati raisi kikwte anaingia madarakani alianza kwa kasi sana na mikwara mingi ila alipozoea aliendelea kuwa sehemu ya jamii ya rushwa ya chama cha mapinduzi.Yeye kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mkuu wa nchi na serikali,haiwezakani lowasa akakiuka maamuzi ya baraza la mawaziri halafu yeye asijue kwani utendaji wote wa serikali hupelekwa pale.Pili Lowassa aliingia kwa mikwara kiasi cha kuwafukuza watu kazi kumbe yeye ni bonge la fisadi.
TUMUOMBEE NDUGU PINNDA ILI ASIWE FISADI