Pinda kumwajibisha mkurugenzi manispaa ya Arusha?

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Tangu mh Lema aseme Pinda kadanganya bunge na umma,kumekuwepo na jitihada nyingi za serikali katika kujaribu kutafuta ukweli wa tukio zima la umeya wa arusha,ofisi ya waziri wanakumbuka shuka asubuhi
katika hali ya kuchanganyikiwa wamemwita ghafla Mkurugenzi wa manispaa ya arusha ili apate kutoa taarifa sahihi,ukweli ni kuwa serikali imeshutushwa sana na kujiamini kwa viongozi wa chadema,habari kutoka ndani ya chadema zinasema kuwa wana ushahidi wa maandishi na wa video hivyo watadhibitishia bunge na umma kuwa pinda ameongopa
na kama Chadema wakitoa ushahidi wao huo Pinda atapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu
ni swala la muda
 
Lazima mtu au watu wawajibike.haiwezekani watu watatu wafe halafu ipite kimya kimya.tuwatendee haki marehemu na ndugu wa marehemu.
 
Haki ni lazima iwe na wasimamizi hivyo kama wamepatikana na ukweli ujulikane, wa kwenda aende kama mtu anapewa taarifa sio sahihi na halafu wana taka kuzitetea kwa kutisha wengine let him go.
Na itakuwa funzo kwamba wakati wa kuchakachua mambo umeanza kuishia polepole.
 
Tangu mh Lema aseme Pinda kadanganya bunge na umma,kumekuwepo na jitihada nyingi za serikali katika kujaribu kutafuta ukweli wa tukio zima la umeya wa arusha,ofisi ya waziri wanakumbuka shuka asubuhi
katika hali ya kuchanganyikiwa wamemwita ghafla Mkurugenzi wa manispaa ya arusha ili apate kutoa taarifa sahihi,ukweli ni kuwa serikali imeshutushwa sana na kujiamini kwa viongozi wa chadema,habari kutoka ndani ya chadema zinasema kuwa wana ushahidi wa maandishi na wa video hivyo watadhibitishia bunge na umma kuwa pinda ameongopa
na kama Chadema wakitoa ushahidi wao huo Pinda atapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu
ni swala la muda

Mkuu hiyo imetulia
 
Back
Top Bottom