Pinda hafai tena kugombea urais !

Pinda hafai tena kugombea urais !

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Kwa kauli aliyotoa Pinda jana bungeni, inatosha kabisa pasi na shaka kukosa vigezo vya kugombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi hii.

Nasema hivyo kwa sababu ameonekana wazi wazi kutoka kuzima jambo hili kwa maslahi binafsi ama yeye mwenyewe au kulinda kundi la watu waalifu na wezi.

Kwa nchi yenye watu makini swali ni moja tu, kama kwa nafasi yake kwa waziri mkuu na matarajio yake ya urais ameweza kudiriki kufanya vile je akipewa nafasi hiyo kubwa ataficha maovu mangapi na wakati huo atakuwa na rungu la kufanya hivyo?

Pinda umeshindwa kabisa kusoma alama za nyakati kweli? Natamani ungejua sisi wananchi tunakuonaje huku kitaa.

Hakika umekosa sifa, umekosa upako, umekosa weledi na zaidi umekosa wofu ya Mungu!

Pinda umejitoa mwenyewe katika kinyang'angiro cha urais.
Pinda sasa hata ubunge si halali yako kwani ukifika bungeni unaweza kukosa nafasi ya uwaziri na si hekima kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu!

Pinda jana ilikuwa tarehe 20/11/2014 hutasahau tarehe hii!
 
Pinda hajui asemalo, alipo kwenda kwa wafadhiri alionekana kuchukizwa na hali ya wizi wa escrow, lakini jana ameongea pumba na aibu tupu...na hali itakuwa mbaya zaidi mara itakapo dhibitika ni muusika...tatizo la pinda hajitambui... na ninawasiwasi mkubwa kama anajua yeye ni waziri mkuu!
 
Pinda alitosha kubeba briefcase marais kama katibu tu na siyo waziri mkuu.
 
Ni lini Pinda alifaa kugombea urais?

Nilikuwa siamini mambo ya sheikh Yahya lakini kuna siku alisema huyu jamaa kama jina lake mambo yake ya kupinda pinda.
He has never been a presidential material.
 
Mtoa mada maelezo yoote hayo hujaweka hata sentence moja ya alichosema. Au naamini watu wote walimsikia?
 
Kwa kauli aliyotoa Pinda jana bungeni, inatosha kabisa pasi na shaka kukosa vigezo vya kugombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi hii.

Nasema hivyo kwa sababu ameonekana wazi wazi kutoka kuzima jambo hili kwa maslahi binafsi ama yeye mwenyewe au kulinda kundi la watu waalifu na wezi.

Kwa nchi yenye watu makini swali ni moja tu, kama kwa nafasi yake kwa waziri mkuu na matarajio yake ya urais ameweza kudiriki kufanya vile je akipewa nafasi hiyo kubwa ataficha maovu mangapi na wakati huo atakuwa na rungu la kufanya hivyo?

Pinda umeshindwa kabisa kusoma alama za nyakati kweli? Natamani ungejua sisi wananchi tunakuonaje huku kitaa.

Hakika umekosa sifa, umekosa upako, umekosa weledi na zaidi umekosa wofu ya Mungu!

Pinda umejitoa mwenyewe katika kinyang'angiro cha urais.
Pinda sasa hata ubunge si halali yako kwani ukifika bungeni unaweza kukosa nafasi ya uwaziri na si hekima kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu!

Pinda jana ilikuwa tarehe 20/11/2014 hutasahau tarehe hii!

Kumbe wewe ulikuwa gizani Pinda hafai siku zote.
 
Anafaa sana kugombea kwa tiketi ya CCM.
 
Tena nawaambie si uzuri wala ubaya wa sura ukawa ndio kigezo kikuu cha uongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom