Pinda hafai tena kugombea urais !

Pinda hafai tena kugombea urais !

hakuna mwana ccm mwenye ubavu wa kugombea urais wa nchi hii kwa sasa zaidi ya Salim Salim wengine wote ni kujisumbua tu, kosa kubwa wanalofanya viongozi wa ccm kwa sasa ni kule kuwaingiza wake zao, watoto wao kwenye haya mambo ya siasa kwa kutumia nyazifa zao,kitakachowapata ni kama kilichowapata Gadafi na Sadam Hussein, wenye akili waangalie sana jambo hili wasije kusema hawakuambiwa
 
Akafuge nyuki
Mzee mnafiki sana Eti bunge lisiingilie mahakama
Badala mahakama isiingilie bunge.

Hopeless PM than ever happened before

Alijifanya mwema sasa hili gumu ndomana jana alitaka apindishe.
 
hakuna mwana ccm mwenye ubavu wa kugombea urais wa nchi hii kwa sasa zaidi ya Salim Salim wengine wote ni kujisumbua tu, kosa kubwa wanalofanya viongozi wa ccm kwa sasa ni kule kuwaingiza wake zao, watoto wao kwenye haya mambo ya siasa kwa kutumia nyazifa zao,kitakachowapata ni kama kilichowapata Gadafi na Sadam Hussein, wenye akili waangalie sana jambo hili wasije kusema hawakuambiwa

Umenena mkuu!
 
Ki ukweli Warioba akigombea uraisi…nitampa kura yangu ijapo mimi sio gamba
 
Najaribu kufikiria Siku ikitokea atakayeingia madarakani aseme mikataba yote lazima iwekwe wazi Sijui nini kitatokea Nchi hii.......nadhani Tanzania itakuwa sehemu ya utalii watu kujua kuona Nchi yenye ufisadi wa ajabu.
 
Napenda kuwaambia wana jf kuwa mtoto wa mkulima kulingana na hii kashfa na wiz wa mabilion ya escrow basi urais asahau,afadhal aende tena BBC akatangaze chinichin tena kwamba mambo yamefka shingon hivyo kwa ishu hii hatoki na pia hagombei!,kwan hata kama hajahusika alikuwa wapi haya asiyafahamu.Kung'atuka hakuepukiki!

Kwa kipi hasa?ebu tuambie ni kwa namna gani mtoto wa mkulima anahusika katika hiyo issue ya Escrow account?
 
Umenena mkuu!

unajua mkuu sisi wenye hekima huwa tunawaeleza watu ili wasije kusema hawakuambiwa kama utafuatilia maneno yangu yote humu kwenye JF ni kuelezea bila kupendelea au kuegemea upande wowote, ccm kila wakati nawaambia huu sio wakati wa hila lakini hawanielewi, wao wamekazana tu,na kupanga mambo ya hila lakini wanashindwa kujiuliza kwa nini kila hila wanayoipanga inagundulika
 
Napenda kuwaambia wana jf kuwa mtoto wa mkulima kulingana na hii kashfa na wiz wa mabilion ya escrow basi urais asahau,afadhal aende tena BBC akatangaze chinichin tena kwamba mambo yamefka shingon hivyo kwa ishu hii hatoki na pia hagombei!,kwan hata kama hajahusika alikuwa wapi haya asiyafahamu.Kung'atuka hakuepukiki!

Hakika Pinda ni jembe manake naona mafisadi na vibaraka wao wanavyohangaika kutaka Waziri mkuu wa sasa Mizengo Pinda ajiuzulu wanamuhofia sana kwenye mbio zao za urais.
 
Ni kweli kabisa kashajikosesha sifa za kuwa kiongozi! Ni mnafiki sana avyojiita mtoto wa mkulima!
 
Kwa kauli aliyotoa Pinda jana bungeni, inatosha kabisa pasi na shaka kukosa vigezo vya kugombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi hii.

Nasema hivyo kwa sababu ameonekana wazi wazi kutoka kuzima jambo hili kwa maslahi binafsi ama yeye mwenyewe au kulinda kundi la watu waalifu na wezi.

Kwa nchi yenye watu makini swali ni moja tu, kama kwa nafasi yake kwa waziri mkuu na matarajio yake ya urais ameweza kudiriki kufanya vile je akipewa nafasi hiyo kubwa ataficha maovu mangapi na wakati huo atakuwa na rungu la kufanya hivyo?

Pinda umeshindwa kabisa kusoma alama za nyakati kweli? Natamani ungejua sisi wananchi tunakuonaje huku kitaa.

Hakika umekosa sifa, umekosa upako, umekosa weledi na zaidi umekosa wofu ya Mungu!

Pinda umejitoa mwenyewe katika kinyang'angiro cha urais.
Pinda sasa hata ubunge si halali yako kwani ukifika bungeni unaweza kukosa nafasi ya uwaziri na si hekima kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu!

Pinda jana ilikuwa tarehe 20/11/2014 hutasahau tarehe hii!

Kweli mti wenye matunda mazuri hauishi kupigwa mawe,mtaangaika sana mafisadi mkiongozwa na Edward Lowasa wenu lakini kamwe msahau Waziri Mkuu Mizengo Pinda hatojiuzulu na huyu Ndiye rais wetu ajaye kwa JMT
 
Mti wenye matunda haushi kupigwa mawe,ukweli utajulikana tu na mafisadi lazima mtaumbuka katika hili suala la ESCROW
 
kusoma tunajua hujui hata picha?? Unawatia aibu wenzio wa buku7.

Weka ushahidi wa hayo uyasemayo,vinginevyo unapiga porojo tu hapa mtandaoni kamwambieni Bosi wenu Edward Lowasa katika hili hatofanikiwa MIZENGO PINDA ataendelea kuwa waziri mkuu na ndiye rais wetu ajaye kutokana na uwaminifu na uwadilifu wake hivyo kaeni mkijua hamtofanikiwa kwani watanzania wanajua michezo yote michafu anayoifanya Lowassa kuichafua serikali.
 
Back
Top Bottom