Asante mama, lazima uheshimu walokupa cheo!!!Spika wa Bunge Anna Makinda amesema hoja ya Kafulila kuhusu Dowans iko mahakamani kwa hiyo haitaingia bungeni. (Mlimani TV)
Tusubiri ya Mnyika nayo kupigwa chini.
Ni hilo tu, Asanteni.
Spika wa Bunge Anna Makinda amesema hoja ya Kafulila kuhusu Dowans iko mahakamani kwa hiyo haitaingia bungeni. (Mlimani TV)
Tusubiri ya Mnyika nayo kupigwa chini.
Ni hilo tu, Asanteni.
Hivi hakuna issue nyingine zaidi ya hii Tanzania?
ushuzi mtupu!
PINDA: Hatutalipeleka suala hili bungeni .kulipeleka huko itakuwa ni kwenda kujadili siasa na si sheria. Na kwa hili tayari kuna timu ya wabunge wa CCM ambao ni watalaamu wa sheria pamoja na timu itakayoundwa na serikali, timu hizo zitakaa na kupitia kwa makini suala hili ili twende tukatafute ufafanuzi huo wa kisheria, alisema Pinda.
Source: Tanzania Daima
hivi hawa jamaa wapo kutuwakilisha au kutuamulia? wananchi kama waajiri wao inakuwaje tunakataa jambo halafu wao kwa kiburi bila hata kuonesha ushawishi wa kwa nini ni lazima kulipa na hiyo pesa inatoka wapi wao wanalazimisha tu tuwalipe mafisadi wenzao? kwa nini wasijiuuzulu?