Gharama ya kisima kimoja ni Sh milioni 12, kama Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ataacha kununua gari, katika bajeti ijayo mtaweza kukamilisha visima vitano ambavyo mmesema mnavihitaji ili kusaidia kilimo cha umwagiliaji maji katika bonde hili ninajua hili linawezekana lakini ni lazima viongozi tusimame kidete, alifafanua. .