Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,279
- 105,481
Sala yangu kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba Mhe. Pinda ataweza ku-persuade J.K. kutowashirikisha wezi ktk Cabinet yake mpya.
Hata hivyo Chadema kitaendelea na mikakati na misisitizo yake ya kutaka Mabadiliko ya kweli. Hakuna kulala vijana, mpaka Kieleweke.
Mzee mbona chama kinaonekana kukosa msimamo na mshikamano, mara hakimtambui rais, mara kinamtambua lakini hakitambui matokeo (what is that). Chama kinakosa sauti moja, wengine wanaamua ku walk out, wengine wanagomea walk out.
Na ile walk out ilipata baraka za wananchi na wapiga kura wenu?