popiexo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 742
- 183
Waziri mkuu Mizengo Pinda aliukataa uwaziri Mkuu na ikalazimika JK atume watu wakamshawishi na kupelekea jina lake kushindwa kupelekwa bungeni asubuhi kwa ajili ya kupitishwa, Katika kumshawishi aikubali tena nafasi hiyo JK alimwambia Mtoto wa Mkulima kwamba sabau miaka mitano iliyoisha hatujafanya viziri ndio maana unanitosa? Pinda alikubali kuendelea kwa sharti la kuwa na equal say katika kuunda baraza la mawaziri na hii ndiyo inayopelekea baraza kuchelewa kutangazwa.
Source; system
Source; system